ULINZI
Kilimanjaro Plantation
INAWATANGAZIA NAFASI ZA KAZI YA ULINZI
SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 35
2. Awe amepetia mafunzo ya mgambo au jeshi lolote la Tanzania
3. Awe anajua kuandika na kusoma Kiswahili au kiingereza
4. Awe na afya njema na akili timamu
5. Awe hajawahi kushitakiwa kwa kosa lolote la jinai, ujambazi, ujangili, ugaidi, mauaji nk
Kutuma maombi
Kama unaamini una sifa na unafaa katika nafasi hii tafadhali tuma maombi yako ya maobmi pamoja na viambatanisho vifuatavyo
a) Vivuli vya vyeti